Monday, August 22, 2016

TAFAKARI YANGU

Amani ndio msingi wa Maendeleo. Amani ikitoweka kuirudisha ni vigumu kabisa, Kama amani ikitoweka hakuna kinachowezakufanyika katika nyanja zote za maisha, hakuna kulima, kusoma, kucheza, siasa, kusafiri, utamaduni wala ibada. Ombi langu Watanzania wenzangu nikuwa tutunze amani tuliyonayo zaidi ya mboni ya jicho letu. Kila mmoja kwa nafasi yake afanye afanyalo kwa kufuata katiba ya nchi  huku akijua ameshikiria yai la amani. 

TAFAKARI YANGU

Amani ndio msingi wa Maendeleo. Amani ikitoweka kuurudisha ni vigumu kabisa, Kama amani ikitoweka hakuna kinachowezakufanyika katika nyanja zote za maisha, hakuna kulima, kusoma, kucheza, siasa, kusafiri, utamaduni wala ibada. Ombi langu Watanzania wenzangu nikuwa tutunze amani tuliyonayo zaidi ya mboni ya jicho letu. Kila mmoja kwa nafasi yake afanye afanyalo kwa kufuata katiba ya nchi  huku akijua ameshikiria yai la amani.