Thursday, January 10, 2019

TIBA RAHISI KWA HEDHI ISIYOKOMA

Pata mizizi ya kutosha ya mbaazi kisha katakata ndimu vipande vipande bila kumenya, changanya na mizizi hiyo ya m'baazi na tia maji kiasi, chemsha kama chai kisha ipua. Kunywa kikombe kimoja cha chai asubuhi na jioni kila siku kwa siku saba inshaallah hedhi itakoma na etaenda kama kawaida.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI MWL. NAHONYO
SIMU; 0712829903/0784950236/0762194681
EMAIL; fnahonyo@gmail.com AU TEMBELEA