Sunday, October 27, 2019

TIBA YA KUFUNGA/KUFUNGUA  HEDHI

Kwa mwanamke  ambaye anapata tatizo katika siku zake ama kuzidi siku au kutopata siku atumie tiba mojawapo  Kati ya zifuatazo in Shaa Allah atakaa vema.

   DAWA YA KWANZA

MDALASINI; Kama ni unga, weka kijiko kimoja kwenye uji/chai/maji moto kutwa mara mbili kwa siku Saba

DAWA YAPILI

MVUJE &PILIPILI MTAMA; Chemsha vyote kwa pamoja kisha uwe unakunnywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa siku saba 

DAWA YA TATU

KITUNGUU MAJI; Tengeneza juisi yake kisha kunywa kikombe kimoja cha kikombe cha kahawa kutwa mara mbili  kwa muda wa siku  TATU.

DAWA YA NNE 

ZAATAR; Chukua vijiko vitano vya dawa hii kisha chemsha kwenye maji ya lita mbili kiasi cha kupungua nusu lita na kubaki lita moja na nusu, kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa siku tano 

Kwa MAELEZO zaidi wasiliana na mwl. NAHONYO F.M 
SIMU; 0712829903/0784950236

EMAIL; fnahonyo@gmail.com
BLOG; www.nahonyo.blogspot.com