TIBA YA KUFUNGA/KUFUNGUA HEDHI
Kwa mwanamke ambaye anapata tatizo katika siku zake ama kuzidi siku au kutopata siku atumie tiba mojawapo Kati ya zifuatazo in Shaa Allah atakaa vema.
DAWA YA KWANZA
MDALASINI; Kama ni unga, weka kijiko kimoja kwenye uji/chai/maji moto kutwa mara mbili kwa siku Saba
DAWA YAPILI
MVUJE &PILIPILI MTAMA; Chemsha vyote kwa pamoja kisha uwe unakunnywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa siku saba
DAWA YA TATU
KITUNGUU MAJI; Tengeneza juisi yake kisha kunywa kikombe kimoja cha kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa siku TATU.
DAWA YA NNE
ZAATAR; Chukua vijiko vitano vya dawa hii kisha chemsha kwenye maji ya lita mbili kiasi cha kupungua nusu lita na kubaki lita moja na nusu, kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa siku tano
Kwa MAELEZO zaidi wasiliana na mwl. NAHONYO F.M
SIMU; 0712829903/0784950236
EMAIL; fnahonyo@gmail.com
BLOG; www.nahonyo.blogspot.com
No comments:
Post a Comment