Sunday, June 18, 2023

FAIDA YA MKUNDE POLI(Leg Poly) Waliokuwa wanauliza juu ya MKUNDE fuatilia maelezo yafuatayo KAZI ZA MKUNDE POLI(MIZIZI YAKE) 1.huzibua mirija ya uzazi 2.husogeza kizazi karibu 3.herejesha mzunguko wa hedhi 4.hutibu GONO,KASONONO, 5.Huongeza shahawa kwa mwanaume 6.hutibu maumivu ya mgongo 7.hutibu maumivu ya kiuno 8.husaidia kuzaa 9.hutibu chango kwa akina mama 10.hutibu maumivu ya viungo na ganzi (chemsha miziz yake tumia kunywa siku 31) KAZI YA MAJANI YA MKUNDE _Huongeza nguvu za kiume Tumia kuchemsha kunywa nusu kikombe mara mbili kwa siku 14 usiache hata siku moja NOTE THAT:"kama unashida za uzazi tumia kuchemsha miziz ya MKUNDE POLI kiasi cha lita 10 ya miziz maji kiasi cha LITA 2 tumia kunywa kwa siku mara mbili kwa mda pia wa siku 45 ukimaliza lita mbili chemsha tena utapona shida ya uzazi yoyote ile +++++++ ONYO"""""""HII DAWA NI KALI HIVYO ASITUMIE MAMA MJAMZITO YEYOTE YULE"""""""" Vyanzo vya mirija ya uzazi kuziba *UTOAJI MIMBA *UTI sugu aina zote tatu *Kusumbuliwa na maradhi ya ZINAA PASIPO KUYATIBIA DALILI ZA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA . Maumivu makali ya mgongo .kuchoka sana . maumivu wakati wa kukojoa . maumivu makali wakati wa tendo la ndoa . maumivu ya kiuno .uchafu ukeni(kunuka) .kubeba mimba nje ya mfuko wa uzazi

No comments:

Post a Comment